Wizara ya Afya kupitia Waziri mwenye dhamana Ummy Mwalimu imetangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya 14 wa Covid 19 hapa nchini na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa waliothibitika kuwa na maambukizi kufikia 46. Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, 13 kutoka Dar na mmoja akitokea mkoani Arusha.
Wizara ya Afya kupitia Waziri mwenye dhamana Ummy Mwalimu imetangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya 14 wa Covid 19 hapa nchini na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa waliothibitika kuwa na maambukizi kufikia 46. Wagonjwa hao wapya ni Watanzania, 13 kutoka Dar na mmoja akitokea Arusha. pic.twitter.com/WrJvAekd4y
— bongo5.com (@bongofive) April 13, 2020
By Ally Juma.
The post Wagonjwa wapya wa Corona Tanzania wafikia 46, waongezeka 14 wote Watanzania appeared first on Bongo5.com.