Waziri wa Afya  @umwalimu ametangaza kuongezeka kwa watu 53 wenye maambukizi ya Virusi vya Corona, ambapo imepelekea jumla ya visa vya Corona kuwa 147. 38 – DSM 10 – Zanzibar, 1 – Kilimanjaro, 1 – Mwanza, 1 – Lindi 1 – Kagera 1 – Pwani.

 

The post Wagonjwa wapya 53 wa Corona Tanzania sasa wafikia 147, Waliopona 11 vifo 5, Waziri Ummy Mwalimu athibitisha appeared first on Bongo5.com.