Watu 74 wamethibika kuwa na virusi vya corona nchini Uganda baada ya kuongezeka maambukizi mapya 11, miongoni mwao kuna Watanzania 6 ambao ni madereva wa magari makubwa ambao walifika eneo la Mutukula na Wakenya 5 ambao pia ni madereva waliofika maeneo ya Malaba wakiwa 3 na Busia 2.

Wizara ya Afya nchini Uganda imesema kati ya wagonjwa 74 wa Corona 46 wamepona na kuruhusiwa.

The post Wagonjwa wapya 11 wa Corona Uganda, Watanzania 6 na Wakenya 5 wote madereva appeared first on Bongo5.com.