Wizara ya Afya Kenya imesema Watu wengine wapya 8 wamebainika kuwa na corona na kufanya idadi ya wenye corona Kenya kufikia 270 kutoka 262. “tumepima sampuli 1330 ndani ya saa 24 na Watu 8 ndio wamebainika kuwa na maambukizi, saba ni raia wa Kenya na mmoja ni raia wa kigeni”

The post Wagonjwa wa Corona Kenya wafikia 270, Wapya 8 waongezeka sampuli 1330 ndani ya saa 24 – Video appeared first on Bongo5.com.