Wakati mataifa mbalimbali yakiendelea kupokea visa vipya vya ugonjwa wa corona, huko nchini Uganda Waziri wa Afya ametangaza wagonjwa wengine saba kupona na kufanya idadi ya wagonjwa waliopona kufikia 46.Mpaka sasa nchi hiyo ina visa 63 na wagonjwa 46 wakiwa wamepona huku wengine 18 wakiendelea na matibabu na hakuna kifo.

The post Wagonjwa wa corona 46 Uganda wapona, hakuna kifo appeared first on Bongo5.com.