Tanzania imetangaza ongezeko wagonjwa 14 wa #COVID-19, hivyo kufanya idadi ya visa kufikia 46. Wagonjwa wapya ni Watanzania ambao kati yao wagonjwa 13 wapo Dar es Salaam na mmoja yupo jijini Arusha.

The post Wagonjwa 14 wa corona waongezeka Tanzania , Dar 13 na Arusha mmoja (Audio) appeared first on Bongo5.com.