Maneno ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu “Ni uchungu mkubwa kuwapoteza Joseph Kambanga “Jenerali” (Meneja TEHAMA – TBC) na Lutengano Haonga (Mwandishi wa Habari Mwandamizi – TBC). Ni mtihani mzito kwa wana familia wenzangu wa TBC. Laleni salama Kaka zangu, kamwambieni Marin Hassan kuwa ARIDHIO inachanja mbuga.

 

Katika ujumbe huo uliowekwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Ndg. Gerson Msigwa haujathibitisha chanzo cha vifo vya wafanyakazi hao wa TBC.

By Ally Juma.

The post Wafanyakazi wawili wa TBC wafariki dunia, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu athibitisha appeared first on Bongo5.com.