Msanii wa muziki wa Hip Hop, Tommy Thommass akiwa na kazi mpya ya ‘Torati’  ikiwa imetayarishwa na Mona Gangastar  na ndani ya ngoma hiyo amepata nafasi ya kumpa shavu Becka Title.

The post Video: Tommy Thommass Ft Becka Title – Torati appeared first on Bongo5.com.