Baada ya kutokea kwa malalamiko makubwa sana kuhsu wasanii kuwa wanafanyia figisu kushusha Viewers kwenye nyimbo za wasanii wenzao hata siku za hivi karibuni tumeona msanii Alikiba akilalamika kuwa kuna baadhi ya wasanii wamemfanyia figisu na kupelekea views kwenye wimbo wake wa DODO kushuka.

Bongo5 tumekuandalia mjadala ambao umezungumzia kuhusu mambo ya Youtube ambapo tumejaribu kuwaalika baadhi ya wadau ambao wanahusika kutengeneza wa content au maudhui katika mtandao wa Youtube, pia tumeangalia hasa watu ambao wako kwenye media na baadhi ya waalikwa walitoka Sammisago tv, Dizzimu online tv, Rickmedia, Mtanzania na Startimes.

Swali ni   je kuna mtu au msanii anaweza kushusha viewers wa msanii mwigine kwenye mtandao wake wa Youtube bila kuwa na access ?

Fuatilia mjadala wote

By Ally Juma

The post UCHAMBUZI: Sakata la wasanii kulalamika kuhusu viewers kwenye mtandao wa Youtube, Je kuna mtu au msanii anaweza kushusha viewers wa msanii mwingine ?- Video appeared first on Bongo5.com.