Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”

The post TB Joshua “Ntaomba nikiwa milimani sitakula hadi adui yetu Corona aondoke” – Video appeared first on Bongo5.com.