Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aga khan jijini Dar es salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.Bernard Lowassa alikuwa ni Mkurugenzi wa kampuni ya AGE Insurance Brokers

The post TANZIA: Mdogo wa aliyekuwa Waziri mkuu Edward Lowasa afariki dunia – Video appeared first on Bongo5.com.