Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto na Mbunge wa viti maalum CCM, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki Dunia alfajiri ya leo ya April 20, 2020,

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha, tutawaletea taarifa zaidi kadri tutakavyoendelea kuzipata. ‘Marehemu Mama Rwakatare, enzi za uhai wake, kwenye mahojiano ya mwisho tuliyofanya naye, na chombo cha Bongo5.

Hapa alikuwa Alikuwahimiza Watanzania kuwa Corona haiwezi kuwa kubwa kumshinda Mungu hivyo cha kwanza tumuamini Mungu na kumtegemea katika kila jambo
Mbali na hilo alimpongeza Rais Magufuli kwa maamuzi yake kuhusu Corona#RIPRWAKATARE

 

The post TANZIA: Mchungaji wa Kanisa la Moto Mama Rwakatare afariki dunia, Haya ni mahojiano yake ya mwisho na Bongo5 – Video appeared first on Bongo5.com.