Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhani amefariki dunia leo majira ya saa mbili asubuhi katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.


Jaji Ramadhani ni Mtanzania wa kwanza kushikilia kiti cha Urais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu tangu kuanzishwa kwa Mahakama hiyo

The post TANZIA: Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhani afariki dunia appeared first on Bongo5.com.