China imetumia siku ya Jumamosi kuwakumbuka wote waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Coronavirus kwa kukaa kimya kwa dakika 3 ilipotimia saa nne kamili huku magari, treni na meli vikipiga honi kwa muda huo.

Zaidi ya watu 3,300 walifariki China.huku Bendera zimepeperushwa nusu mlingoti kwenye majengo mbalimbali ya Serikali na binafsi.

The post Taifa la China laomboleza waliopoteza maisha kwa virusi vya Corona kwa kupandisha bendera nusu mlingoni appeared first on Bongo5.com.