Rais Magufuli atangaza siku tatu za maombi kuanzia leo April 17, 20202 “Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020  siku hizo ni Ijumaa, Jumamosi na siku ya Jumapili KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu.

“Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.”

By Ally Juma.

The post Siku tatu za maombi alizotangaza Rais Magufuli kwa ajili ya Corona kuanza leo appeared first on Bongo5.com.