Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea leo tarehe 15 Aprili, 2020 majira ya saa 12:55 asubuhi katika Kijiji cha Kilimahewa Kaskazini, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.

The post Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya watu 18  appeared first on Bongo5.com.