Salamu za rambirambi kutoka kwa Rias wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa Familia ya Marin Hassan Marin alityekuwa mtangazaji wa TBC ambaye amepoteza maisha katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar Es Salaam.

“Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa ya kifo cha mtangazaji Marin Hassan, aliipenda kazi yake, aliifanya kwa weledi, alikuwa mzalendo na alidhamiria kuitumikia Nchi kupitia TBC kwa nguvu zote, natoa pole kwa TBC, Wanahabari wote na wote walioguswa, apumzike kwa amani”

By Ally Juma.

The post Rais Magufuli atuma salam za rambirambi kwa familia ya marehemu Marin Hassa, aliyekuwa Mtangazaji wa TBC appeared first on Bongo5.com.