Rais Dkt John Magufuli ametoa msamaha kwa jumla ya wafungwa 3,973 ambapo kati yake wafungwa 3,717 wamesamehewa vifungo vyao na wafungwa 256 waliokuwa wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa hadi kufa wamebadilishiwa adhabu hiyo.

Msamaha huo umetolewa ikiwa kesho Jumapili, April 26 ni maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

The post Rais Magufuli atoa msamaha kwa wafungwa 3973, Wafungwa 256 wabadilishiwa adhabu baada ya kutakiwa kunyongwa appeared first on Bongo5.com.