John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma na waumini wa Kanisa la Anglikana kufuatia kifo cha Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani.
Rais Magufuli amesema marehemu Jaji Ramadhani atakumbukwa kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yake, ulioshadidishwa na umahiri wake, ukweli, uchapakazi, uzalendo wakweli, na ucha Mungu.

 

The post Rais Magufuli amlilia Jaji Augustino Ramadhani “Nilienda kumuona mazungumzo yake yalikuwa ni ya kumtegemea Mungu” appeared first on Bongo5.com.