Rais Magufuli leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, na Mganga Mkuu wa Serikali.

The post Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi hawa appeared first on Bongo5.com.