Mtayarishaji wa muziki @abbah_process amefunguka kwa kudai kwamba kuna wakati wasanii ambao anawaandalia beat wanakataa kusaini mikataba ambayo itamfanya na yeye anufaike na kazi zake. “Wasanii wanazingua sana, hawajui nafasi zao, tena hawaheshimu biashara za watu,” alisema Abbah

The post Producer Abbah: Wasanii wanazingua sana, ukiwaambia njoo tusaini mikataba wapiga chenga (Video) appeared first on Bongo5.com.