Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita  na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.

Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.

Picha: AzamTv