Kupitia ujumbe aliopost Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa ametoa onyo kali kwa wasambazaji wa sukari kupandisha bei kwa makusudi kwa madai ya kuadimika kwa bidhaa hiyo.

“Haya wale wasambazaji wa sukari wapiga “dili” pokeeni salam za Tume ya Ushindani, Mnaambiwa acheni hujuma, mnakuwa wakaidi, sasa hamna namna nyingine ni kupigwa tu (na mikono ya sheria), ukikamatwa ujue huna leseni ya biashara ni mhujumu uchumi”

The post Onyo kali latolewa kwa wanaopandisha bei ya Sukari kwa makasudi appeared first on Bongo5.com.