Msanii wa muziki Nandy pamoja na Billnass wanaendelea kuuonyesha umma kwamba wanapendana ikiwa ni siku chache toka rapa huyo amvalishe pete ya uchumba muimbaji huyo.
The post Nandy aeleza jinsi anavyompenda Billnass “Hakika wewe ni mwanaume wa maisha yangu” (Video) appeared first on Bongo5.com.