Msanii wa muziki Muumini Mwijuma amedai wazo la wimbo Tunda ambao ulifanya vizuri na kubadilisha maisha yake alilipata siku ya kwanza kuingia kwenye mahusiano na kuonja utamu wa dunia. “Sikuweza kuisahau ile siku, yaani kuanzia hapa ndio wazo la Tunda likaja na nikalifanyia kazi baada ya miaka 5, na baadha ya hapo mwaka 2000 ndio nikaiboresha zaidi na kuwa moto” alisema Muumini.
The post Muumini: Wazo la wimbo Tunda lilikuja baada ya kuonja utamu wa dunia (Video) appeared first on Bongo5.com.