Mtoto wa miaka 13 Muu Flow ameamua kuachia wimbo kwaajili ya kuwataka wazazi kuwalinda watoto wao dhidi ya janga la corona ambalo linaitesa dunia.

Mtoto huyo ameiambia Bongo5 kwamba ameamua kufanya kama mchango wake kwa jamii.

Mtoto wa miaka 13 Muu Flow ameamua kuachia wimbo kwaajili ya kuwataka wazazi kuwalinda watoto wao dhidi ya janga la corona ambalo linaitesa dunia.

Mtoto huyo ameiambia Bongo5 kwamba ameamua kufanya kama mchango wake kwa jamii

Video hiyo kwa sasa inapatikana kupitia mtandao wa YouTube.

The post Mtoto wa miaka 13 aachia wimbo Corona, aomba wazazi kuwalinda watoto appeared first on Bongo5.com.