Msanii mpya aliyetambulishwa na C.E.O wa Konde Gang Harmonize ambaye anajulikana kwa jina la Ibrah tayari ameachia audio ya wimbo wake wa kwanza akiwa chini ya Konde Gang.
Wimbo huo nimekubali umefanywa na producer Kapipo, Ibrah alitambulishwa na Harmonize siku ya jumamosi siku mbili kabla ya kuachia wimbo huu mpya
By Ally Juma.
The post Msanii mpya alisainiwa na Harmonize ameachia wimbo wa kwanza akiwa Konde Gang ‘Nimekubali’ – Audio appeared first on Bongo5.com.