“Utakuta kuna densi ambazo zinatrend sana mpaka hapa Tanzania za watu wakicheza ambazo sio za Tanzania lakini kimsingi hata sisi tunajua kucheza na tunajua kutengeneza za kwetu”

“Sisi ni watu ambao hatuna uzalendo kuna watu ambao akifanya kitu mtu kama msami au mtu mwingine utasikia Msami tu lakini akifanya kitu mtu wa nje tunakishobokea hata ukiona Comment ya msanii wa nje utaona watu watakavyomshobokea “Kuna shabiki alicomment kwangu alinambia jitahidi baba kuna siku moja na wewe utakuja kupanda ndege, huo mi naona ushamba “Maneno ya @msamibaby akiwasihi Watanzania wapende vitu vya ndani au vya nyumbani kwa ajili ya kuwasapoti vijana wao ambao ndio ndugu zao”

The post Msami: “Watanzania hatuna Uzalendo Vitu vya nje vina-trend sana kwetu kuliko vya kwetu ku-trend nje “- Video appeared first on Bongo5.com.