Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amemuomba Waziri wa Katiba na Sheria kufanya marekebisho ya sheria ya pombe za kienyeji ili kuihalalisha.

Hatua hiyo ni baada ya kupokea majibu ya sampuli iliyochukuliwa kwenye pombe aina ya Gongo inayozalishwa kutoka kwenye bibo, kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, na kuthibitika kuwa inaweza kutumika kuzalisha spiriti iwapo itafikishwa viwandani.

By Ally Juma.

The post Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, Amuomba Waziri kuhalalishwa gongo appeared first on Bongo5.com.