Meneja wa Diamond na Mkubwa na Wanae, Mkubwa Fella afunguka kuzungumzia tetesi za kwamba hawako sawa na aliyekuwa msanii wa Yamoto Band, Aslay pamoja na meneja wake Chambuso. Wawili hao hizi karibuni walinaswa na Kamera ya Bongo5 na kuzungumza nayo kuhusuana na tetesi hizo pamoja na mengine.

The post Mkubwa Fella na meneja wa Aslay Chambuso wafunguka baada ya kudawa kuwa wana matatizo (Video) appeared first on Bongo5.com.