Mgambo aliyefahamika kwa jina la Rugemalira Sospeter amekamatwa na Askari wa Zimamoto kwa kuvaa mkanda wa begani unaotumiwa na Jeshi hilo Raynyart ambapo yeye aliununua kwenye Soko la Mitumba na kueleza huwa anautumia kwa ajili ya kubebea filimbi yake.

By Ally Juma.

The post Mgambo akamatwa kwa kununua Mkanda kwenye mitumba na kufungia filimbi, Aeleza sababu – Video appeared first on Bongo5.com.