Mzee Meshuku Mapi aliyeaga Dunia kutokana na maradhi ya uzee akiwa wa umri wa miaka 107, wake wanane watoto zaidi ya 50 na wajukuu zaidi ya 300, amezikwa katika viwanja vya Boma lake, ambapo baadhi ya waombolezaji wamemuelezea Mzee Meshuku kama shujaa wa maendeleo.

The post Mfahamu mzee wa miaka 107 aliyeacha watoto zaidi ya 50 wajukuu zaidi ya 300 na kuwajengea shule yao kabla ya kufariki dunia – Video appeared first on Bongo5.com.