Mbunge wa Rombo kupitia chama cha CHADEMA , Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho Mh Freeman Mbowe.

The post Mbunge wa Rombo ‘CHADEMA’ Selasini asikitishwa baada ya kutolewa kwenye group la WhatsApp appeared first on Bongo5.com.