Mbunge wa Jimbo la Namtumbo (CCM), Mhandisi Edwin Ngonyani amesema bungeni leo anatamani rais John Magufuli na serikali yake iendelee kubakia madarakani hadi ujenzi wa reli Namtumbo utakapokamilika hata kama itachukua zaidi ya miaka 30.

The post Mbunge ataka Rais Maguli abaki madarakani hadi reli ya Namtumbo ikamilike ”Hatakama itamchukua miaka 30 ” (+Video) appeared first on Bongo5.com.