Mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo zenye thamani ya TZS. Mil 210 zimefungwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na mashine moja itafunga kusaidia wagonjwa kupumua (ventilator) yenye thamani ya TZS. Mil 56 katika Hospitali ya Amana ili kuhudumia wagonjwa wa corona.

The post Mashine tatu za kusafishia figo zafungwa Muhimbili, Moja ya Corona ‘Ventilator’ yafungwa Amana appeared first on Bongo5.com.