Msani wa Uchekeshaji na Mtangazaji Masanja Mkandamizaji aeleza alichoongea katika ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi.


Ikumbukwe masanja siku ya jana aliombwa kufika katika ofisi hizo kwa ajili ya mahojiano kutokana na kipindi alichokifanya kwa kuwauliza wakazi wa Dodoma kuhusu COVID 19 na kuonekana wakazi hao hawajui chochote kuhusu COVID 19.
Baada ya kuitwa @masanjamkandamizaj anaeleza kuwa alifika tangu jana lakini alipofika alikuta mkuu wa Wilaya anakikao hivyo alimwambia arudi leom ajira ya saa nne asubuhi.

By Ally Juma.

The post Masanja afunguka haya kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kuhojiwa kwa mkuu wa wilaya Dodoma – Video appeared first on Bongo5.com.