Kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha cha Johns Hopkins imesema kuwa takriban kesi za maambukizi ya virusi vya Corona nchini Marekani imefikia 770,564 huku idadi ya vifo ikiwa ni zaidi ya 41,114. Barani Afrika, kesi za maambukizi zimefika 21,317 pamoja na idadi ya vifo 1,080 mpaka kufikia leo Aprili 20.
The post Marekani kesi za Corona zafikia 770,564 vifo 41,114 waliopona wakadiriwa kufikia 70,799 appeared first on Bongo5.com.