Mamia ya watu yameendelea kumiminika katika maeneo tofauti nchini Marekani wakishinikiza Serikali ya taifa hilo kutoa zuio la watu kuendelea kukaa ndani na badala yake watu waendelea na majukumu yao huku wakichukua tahadhari husika
Wamarekani hao waliobeba mabango yenye jumbe mbalimbali , wamesisitiza kua kila biashara ina umuhimu , ivyo serekali izifungulie biashara zote ziweze Kuendelea. .
Mpaka Sasa Marekani imeshatangaza visa vya watu wenye Corona zaidi ya 799, 456 , huku watu 42, 604 wakipoteza maisha
The post Mamia ya watu waendelea kuandamana Marekani washinikiza zuio la kukaa ndani kisa Corona kutolewa – Video appeared first on Bongo5.com.