Kiwewe na Matumani ambao wanadaiwa kufunga ndoa hivi karibuni wamenaswa na kamera za #BongoTV wakisaka bahati yao mjengoni hapo. Katika mahojiano na mtandao huu walifunguka mambo mengi kuhusu kuwa pamoja, kutafuta nafasi Wasafi na mengine mengi.

The post Kiwewe na Matumaini ambao wanadaiwa kufunga ndoa wakesha Wasafi kutafuta nafasi (Video) appeared first on Bongo5.com.