Labo hiyo imetoa taarifa hiyo ikiwa siku chache baada ya wasanii wake wawili Killy na Chead kutangaza kuachana na lebo hiyo. “It’s official kwamba this Friday @kingsmusicrecords inamtambulisha rasmi @tommyflavour kwenye music industry. Kuwa wa kwanza kusikiliza na kuangalia kazi zake mpya kwa subscribe kwenye Youtube Channel ya Tommy Flavour – Link on his BIO. 🎥 @chanenoo
The post Kings Music waanza fujo za kumtambulisha msanii mpya Tommy Flavour appeared first on Bongo5.com.