Juma Lokole amesema anaona watu wazungumza mengi kuhusu maisha yake ambapo amedai mwezi huu alikuwa afunge ndoa na mama mtoto wake ila kutokana na janga la corona ndoa hiyo itafanyaka mwezi wa tisa. Amesema mpaka sasa ana watoto watatu na kila mmoja na mama yake huku akidai lengo lake ni kuwa na watoto wengi zaidi kwa kuwa uwezo na nguvu anao.

The post Juma Lokole asogeza mbele ndoa yake “Kwa sasa nina watoto 3 na kila mmoja na mama yake” (Video) appeared first on Bongo5.com.