Mtangazaji wa Wasafi Fm Juma Lokole amefunguka kuonyesha gari yake mpya ambaye amedai ameinunua kwa tsh milioni 16. Juma amedai hii ni gari yake ya pili kuinunua katika maisha yake. “Kwani nikinunuliwa si kuna kazi imeifanya,” alisema Juma

The post Juma Lokole anunua ndinga mpya ya kifahari (Video) appeared first on Bongo5.com.