Ubalozi wa Tanzania nchini China, umetoa tangazo kwamba jimbo la Hubei ambao ulikuwa na ugonjwa wengi wa Corona umewaruhusu wananchi kuingia mtaani na kuanza shughuli zao baada ya kushinda vita dhidi ya ugonjwa huyo ambao unaitikisa dunia.

 

The post Jimbo la Hubei ambalo lilikuwa na wagonjwa wengi wa Corona China limewaruhusu wananchi kutoka “Lockdown” appeared first on Bongo5.com.