Watu 262 wabainika kuwa na ugonjwa wa virusi vya Corona nchini Kenya baada ya kuongezeka maambukizi mapya 16 ndani ya saa 24, Vifo sasa vyafikia 13, waliopona Corona 60. Watu hao 16 waliobainika kuwa na Corona nchini humo 15 wanatoka Kenya na mmoja ni raia wa kigeni.

 

The post Idadi ya wenye corona Kenya yafikia 262, wagonjwa 16 waongezeka appeared first on Bongo5.com.