Nguli wa Tasnia ya habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo katika Hospitali ya Jeshi Lugalo DSM ,alipokua akipatiwa Matibabu. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha.

By Ally Juma.

The post Huyu ndio Mtangazaji wa TBC aliyefariki dunia katika Hospitali ya Lugalo – Video appeared first on Bongo5.com.