Mmoja ya mameneja wa @harmonize_tz ambaye anajulikana kwa jina la @chopa_Tz ameshare video fupi ikionyesha jengo hili huku akiondoka #KONDEGANG HQ akimaanisha makao makuu ya lebo ambaye iko chini ya @harmonize_tz ya @kondegang
By Ally Juma.
The post Harmonize aonyesha ofisi za lebo yake ya Konde Gang, Mjengo wawashtua wengi – Video appeared first on Bongo5.com.