Lebo ya muziki iliyopo chini ya @harmonize_tz imemtambulisha msanii wao mpya Jumamosi hii ikiwa ni siku chache toka WCB imtambulishe msanii wake mpya, Zuchu.

The post Harmonize amtangaza msanii wake mpya, wadau wasema ni moto wa kuotea mbali (Video) appeared first on Bongo5.com.