Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameamua kuifanyia remix ngoma yake ya Bedroom ambayo ipo kwenye album ya AFROEAST.

Katika remix hiyo Harmonize ameamua kushirikisha wasanii 9 ambao wote  ni (marapper ) Wana hip hop, wasanii hao ni Darasa, Nay Wa Mitego, Country boy, Younglunya, Rose Ree, Moni Centrozone, Baghdad, Salmin Swaggz, Bilnass, huku yeye Harmonize akimaliza.

By Ally Juma.

The post Harmonize aifanyia Remix ngoma yake ya Bedroom, Ashirikisha Rapper 9 Darasa Nay wa Mitego ndani – Video appeared first on Bongo5.com.