Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amezichambua Bilioni 20 za muwekezaji Bilionea Mo Dewji zinazotarajiwa kuwa ndani ya timu hiyo kama sehemu ya uwekezaji wake. ”Nimemuuliza Mohammed (MO) na wajumbe mnakwenda kulikamilisha lini hili jambo.”

The post Haji Manara azichambua Bilioni 20 za Bilionea Mo Dewji ndani ya Simba na mchakato ulipofikia (Audio) appeared first on Bongo5.com.