Msemaji wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram baada yaDiamond kutangaza kulipia familia 500 kodi za nyumba kwa miezi mitatu.

Haji Manara alichukua ujumbe aliopost Diamond na kuupost kwenye ukurasa wake wa Instgram na kuandika maneno haya:

“Sijawahi kujuta kuwa na ushkaji na ww,,wapo wabishi watasema mbona umetangaza?
Ahhhh !! Hii ni kwa ajili ya kuwainspire wengine waliojaaliwa kdogo kuwatazama wenzao!! Unajua nn Mwamba? Mungu atakuongezea ile mbaya,,atakufungulia Rizk zaidi na kwa sasa bado kitu kimoja tu ,,ukifanya hvyo na Peponi tutakaa Wote Inshaallah,,,,.. OA
@diamondplatnumz

 

 

The post Haji Manara atoa ya moyoni baada ya Diamond kutangaza kulipia familia 500 kodi “Wapo wabishi watasema kwanini umetangaza” appeared first on Bongo5.com.